Watanzania watakiwa kutunza nyaraka muhimu kurahisisha ulipaji fidia
Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan kwa wasimamizi wa mirathi kupitia bima walizokata. Wito huo umetolewa bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Muleba Kusini Dkt. Oscar Kikoyo, aliyetaka kufahamu…
