Nchi za SADC zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni
Imeelezwa kuwa ni ukweli usiopingika kwamba nchi nyingi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni kutoka kwa Mashirika makubwa ya kifedha duniani. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa gharama za ukopaji katika masoko ya fedha ya kimataifa, kupungua kwa misaada na mikopo nafuu, athari za mabadiliko ya…
