Umekuwa ukifikiria jinsi ya kukuza biashara yako ndogo, lakini mtaji umekuwa kikwazo kikuu?

Jinsi unavyoweza kupata mkopo wa milioni 50 kwa biashara yako ndogo Tanzania

Pesa zako, biashara yako: Jinsi unavyoweza kupata mkopo wa milioni 50 kwa biashara yako ndogo Tanzania Je? Umekuwa ukifikiria jinsi ya kukuza biashara yako ndogo, lakini mtaji umekuwa kikwazo kikuu? Je, una ndoto ya kuongeza bidhaa, kununua mashine mpya, au kupanua soko lako, lakini kiasi cha Shilingi Milioni 50 kinaonekana kuwa mlima mrefu kupanda? Usife…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 30 at 15.24.26

Hatifungani ya kijani yavuka lengo

Hatifungani ya kijani ya benki ya CRDB imevuka lengo lililokusudiwa la shilingi bilioni 40 kwa asilimia 329.55 ikiwa ni awamu ya kwanza ya uuzwaji. Benki ya CRDB imetangaza rasmi matokeo ya hatifungani hiyo iliyouzwa kwa siku 38 kuanzia Agosti 31, 2023. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo alikua ni Dkt. Charles Mwamwaja, Kamishna wa Idara ya…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.28.58

Vijana wenye biashara changa kunolewa

Biashara changa za vijana 196 (startups) zimeingia katika hatua ya mafunzo kabla ya kupewa mitaji wezeshi kwa ajili ya kuendeleza biashara zao. Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua kambi ya mafunzo (boot camp) kwa ajili ya vijana hao. Uzinduzi wa kambi hiyo umefanyika katika kituo maalum cha kuendeleza biashara changa kilichopo Makao Makuu ya zamani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.29.25

Wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na taasisi za BUTA Vicoba Endelevu na Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kuwawezesha wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi kupitia program ya IMBEJU. Akizungumza kwenye hafla ya makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amezishukuru taasisi hizo kwa utayari wao wa kushirikiana na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks