Waziri atoa siku 7 mabasi kushusha na kupakia stendi ya Magufuli
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ametoa siku saba kwa mabasi yote kushusha na kupakia abiria ndani ya Kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli jijini Dar es salaam. Bashungwa ametoa maelekezo hayo mei 30, 2022 na kumtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla…
