WhatsApp Image 2023 02 17 at 18.25.40

Huduma za TEHAMA kusaidia kukabiliana na majanga

Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeandaa rasimu ya Mpango Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano wakati wa Majanga ili kusaidia katika kujiandaa, kugundua na kukabiliana nayo. Rasimu hiyo itasaidia kuzuia au kupunguza athari na maafa yanayoweza kutokea na kugharimu maisha, uharibifu wa rasilimali na miundombinu ya nchi. Hayo yamebainishwa Februari 16, 2023 jijini Dodoma…

Soma Zaidi
sasaa

Wanawake watakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya mikopo

Wanawake wametakiwa kuacha kukimbilia kukopa fedha kabla ya kuwa na elimu ya fedha. Kutokuwa na elimu ya fedha kunawasababisha kuishia kupata matatizo mbalimbali kutokana na madeni kwa kushindwa kulipa mikopo hiyo. Beng’i Issa ambae ni Katibu  Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC), ameyasema hayo na kudai kuwa sekta  ya fedha imekuwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 15 at 13.42.28

Serikali yasaini makubaliano kusimamia bunifu

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Kampuni ya Tanzania Startups Association (TSA) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kuanzisha na kuimarisha miongozo mbalimbali inayosimamia bunifu na kampuni changa nchini (startup’s policy) Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Februari 14, 2023 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi amesema lengo ni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 10 at 14.19.43

Zoezi uhakiki wa mashamba lapamba moto

Zoezi la uhakiki na upimaji wa mashamba kwa ajili programu ya Building a Better Tomorrow (BBT ) linaenda vizuri kutokana na ushirikiano na utayari unaooneshwa na viongozi na wananchi wa mikoa ya Kigoma na Kagera. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo…

Soma Zaidi
bataaaa

Bata wawili hadi kumiliki bata 1,000

Sio lazima uingie darasani na upate elimu katika mfumo rasmi ndipo uweze kufanikiwa katika maisha. Ndivyo wanavyoweza kusema kikundi cha Maisha Mazuri kilichopo Pugu, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. “Tulipata mafunzo ya uzalishaji kanisani tukiwa katika ibada, kijana mwenzetu akasema yeye ana bata, tukaanzisha kikundi tukiwa wanachama sita, akatupatia bata wawili jike na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks