WhatsApp Image 2023 06 05 at 16.47.55

Wabunge wataka Maliasili iongezewe bajeti

Wabunge wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mapinduzi makubwa yanayofanywa hivi sasa na kutaka wizara hiyo iongezewe bajeti ili iweze kufanya vizuri zaidi katika mwaka wa fedha 2023/24. Baadhi ya wabunge waliochangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii, ni Mbunge wa viti maalum Njombe (CCM) Neema Mgaya ameitaka Serikali kuangalia namna ya kurudisha…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 05 at 13.13.06

Vikwazo 10 vya kibiashara vyaondolewa Afrika Mashariki

Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs). Vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara baina ya nchi hizo. Vilevile, nchi hizo zimekubaliana kutoza kiwango cha dola 10 za kimarekani kwa kilomita 100 kwa ajili…

Soma Zaidi
kkkkk

Karufuu yashuka kwa asilimia 40

Uzalishaji wa karafuu Zanzibar umepungua kutoka tani 7,840 mwaka 2021 hadi tani 4,734 kwa mwaka 2022. Akizungumza katika Bunge la Wawakilishi, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Visiwani humo Shamata Shaame Khamis amesema upungufu huo ni sawa na asilimia 40. Zao la karafuu ambalo ndio zao kuu Zanzibar linachangia kwa asilimia 22.9 ya pato…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks