Maonesho ya chakula ya nchi za Asia kuunganishwa na nanenane
Serikali imewaalika waandaji wa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Chakula (International Agri Food Conference and Exhibition) kujadiliana namna ya kurasimisha shughuli hizo ili ziendane na maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika nchini kila mwaka. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameyasema hayo Agosti 2023, wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho hayo, jijini…
