WhatsApp Image 2023 11 20 at 10.43.51

Serikali yawataka wahitimu kuwa waadilifu kazini

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imewataka wahitimu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu Moshi (FITI)kutumia elimu waliyoipata kuwa waadilifu, wazalendo, kusimamia uhifadhi pamoja na matumizi endelevu ya misitu. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Mafunzo na Utafiti, Dkt. Edward Kohi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas wakati…

Soma Zaidi
dede

EU yatoa ruzuku 9bn kwa ajili ya mradi wa Nishati Safi Tanzania

Inakadiriwa Watanzania zaidi ya asilimia 80 wanatumia vyanzo vya nishati ya kupikia  ambavyo si salama na vyenye madhara ya kiafya, kiuchumi na kimazingira. Tanzania imelenga kuboresha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kutokana na umuhimu wa afya za Watanzania na Mazingira. Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akimuwakilisha Mgeni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 11 10 at 13.50.24

Korea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi Tanzania

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara kutoka nchini Korea Kusini Ahn Dukgeun ambapo  ameeleza kuwa nchi hizo zitaendelea kudumisha ushirikiano uliopo katika nyanja za kiuchumi na kijamii. Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma, Dkt. Biteko alimuhakikishia Dukgeun ushirikiano kutoka Serikali ya Tanzania katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks