Serikali ya Tanzania yaweka mikakati uhaba fedha za kigeni
Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex). Mikakati hiyo ni ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba wa fedha za kigeni. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba…
