Vijana 150 wapata vitendea kazi vya kilimo
Jumla ya vijana 150 wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani katika Sekta ya kilimo wamenufaika na mradi wa Feed the Future Tanzania kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kwa kupewa vitendea kazi. Vijana hao ni kutoka katika halmashauri ya Chunya, Mbeya vijijini na halmashauri ya Mbarali mkoani Mbeya. Hafla hiyo imefanyika Septemba 17,…
