Wadau wa chai watakiwa kuwa na mkakati kuongeza thamani zao hilo
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amefungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Chai Tanzania na kuwataka kuwa na mkakati wa kuongeza thamani ya zao hilo ili kuboresha uchumi wa maisha ya wakulima. Waziri Bashe amefungua mkutano huo Aprili 08, 2025 katika Hoteli ya Morena, jijini Dodoma. “Naelekeza wajumbe wa Bodi kuwa sehemu ya kutatua…
