Pesa Tu Social Media Post 2025 72

MAPINDUZI YA KILIMO NA UFUGAJI MAGEREZA TANZANIA

Mapinduzi ya Kilimo na Ufugaji magereza Tanzania. Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya mageuzi ya kiuchumi nchini Tanzania, Serikali imetangaza mkakati mpya wa kuimarisha kilimo na ufugaji Magereza. Hatua hii si tu inalenga kuzalisha chakula kwa ajili ya wafungwa, bali pia kugeuza maeneo yanayomilikiwa na Jeshi la Magereza kuwa mashamba darasa na vituo vikuu…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 24 at 3.56.51 PM

Tanzania yapiga marufuku mazao ya Afrika Kusini, Malawi

Tanzania imepiga marufuku uingizwaji wa mazao yoyote ya kilimo kutoka Afrika ya Kusini na Malawi kuingia nchini Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ametoa tamko hilo la serikali ya Tanzania Aprili 23, 2024. “Kama waziri wa Kilimo sijapokea notisi yoyote, mazungumzo yanaendelea na yanaongozwa na Waziri wetu wa Mambo ya Nje, lakini wakati mazungumzo yanaendelea…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 17 at 10.33.23 AM

Naibu Waziri Dkt. Biteko anadi soko la mazao jamii ya mikunde India

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejidhatiti kuboresha na kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuja na mipango kadhaa yenye lengo la kuongeza fursa kwa wakulima nchini. Dkt. Biteko amesema hayo jijini New Delhi, India  wakati akishiriki mkutano kuhusu masuala ya mazao jamii ya mikunde. “Tunaongeza uwekezaji katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks