TANZANIA NA SAUDI ARABIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO
Tanzania na Saudi Arabia zaimarisha ushirikiano. Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kimkakati, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuimarisha mahusiano yake ya kidiplomasia na kiuchumi na Ufalme wa Saudi Arabia. Leo, Machi 16, 2026, jijini Dar es Salaam, kumefanyika kikao muhimu ambacho kimefungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa nishati Tanzania na…
