Maua ni fursa ya biashara
Watu wengi wanapenda kupendezesha nyumba zao ama ofisi kwa mapambo mbalimbali ikiwemo maua. Ama kwa hakika, bustani za maua mbalimbali zinazotunzwa vizuri ni kivutio kikubwa husasani majumbani na sehemu zingine mbalimbali. Vijana wengi wameanzisha biashara ya kuuza maua na wengine wakifanya kazi ya kutengeneza bustani (garden) kwa utaalamu. Biashara hii ambayo inakua kwa kasi imeweza…
