Vijana BBT waonesha utayari wa kujifunza zaidi
Vijana waliopo katika Mradi wa Kujenga Bora ya Kesho (Build Better Tomorrow BBT) wameonesha utayari wa kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo na biashara ili kupata ujuzi na elimu ya kujiajiri wenyewe. Mratibu wa BBT Vumilia Zikankuba ameeleza hayo wakati anajibu swali la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango…
