WhatsApp Image 2022 09 30 at 5.01.22 PM

Tanzania kukopeshwa bilioni 979

Tanzania imeahidiwa kupewa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoa katika mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Miongoni mwa miradi itakayonufaika ni mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni…

Soma Zaidi
aza

Tizameni makato ya benki, kampuni za simu: Zungu

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azzan Zungu amewataka wananchi kuangalia tozo wanazokatwa na mabenki na makampuni ya simu badala ya kulalamikia makato ya serikali. Akizungumza Bungeni Septemba 21, 2022, Zungu amesema “mimi niwaombe wananchi pamoja na sisi wabunge, unapotuma pesa tizama breakdown(mchanganuo)  ya pesa inavyoandikwa, utaona tozo ya serikali ipo chini sana na…

Soma Zaidi
bbb

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23 Juni, 2022 wamepitisha mapendekezo ya hayo. Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina iliyoandaliwa na Wizara ya Afya ya kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa White house jijini Dodoma. Waziri…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 02 24 at 4.58.27 PM

Bilioni 200 kwa ajili ya machinga

Benki ya NMB imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwapa mikopo wamachinga. Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi amesema wameingia mkataba na wamachinga ambapo mbali na mikopo hiyo, benki hiyo pia itawapa mafunzo ya kifedha. “Kupitia ujuzi tulionao tutakuwa tukitoa mafunzo kwa machinga, benki yetu ina uzoefu mkubwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks