WB yawekeza dola 7.2bn Tanzania
Benki ya Dunia (WB) imewekeza zaidi ya dola za Kimarekani bilioni 7.2 sawa na takribani Sh. trilioni 16.7 kwa ajili ya kutekeleza miradi zaidi ya 29 nchini Tanzania. Kati ya miradi hiyo, miradi 24 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 6.41 ni ya kitaifa na mingine 5 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni…
