TANESCO YAONGOZA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Tanesco yaongoza mapinduzi ya nishati safi ya kupikia,Mabadiliko ya tabianchi na changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati zisizo salama zimekuwa ajenda kuu nchini Tanzania. Katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni limechukua hatua madhubuti kueneza elimu…
