WhatsApp Image 2023 03 10 at 14.43.55

Watanzania watakiwa kuchangamkia  fursa soko la Malawi

Mamlaka ya Maendeleo ya biashara Tanzania (TanTrade) 9Machi 2023 imeratibu mkutano Kwa njia ya Teknolojia ya Mtandao baina kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi wenye lengo la kujadili fursa za kibiashara zilizopo kati ya Tanzania na nchi ya Malawi. Mkutano huo umeshirikisha Taasisi mbalimbali za serikali pamoja na Wafanyabiashara. Akizungumza katika mkutano huo,…

Soma Zaidi
mmm

Mbaazi za Tanzania zaondolewa ushuru India

Serikali ya India imeruhusu Tanzania kuingiza kiasi cha tani laki mbili (200,000) za mbaazi bila ushuru wa forodha (Free Import Regime) kuanzia sasa hadi Machi 2024. Taarifa ya Wizara ya Kilimo imewahimiza wadau wa kilimo wenye nia ya kuuza mbaazi nchini India kuzingatia viwango vya ubora viavyohitajika katika soko la India. “Mbaazi zitakazosafirishwa kwenda India…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 23 at 15.14.40

Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji: Mwigulu

Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo wamefanya majadiliano ya uboreshaji mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini illi kuwavutia wawekezaji. Hayo yamelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba wakati akifungua Mkutano wa ngazi ya juu wa Majadiliano ya kimkakati kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Serikali…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks