HATUA KUBWA UWEKEZAJI NMB NA ARISE INVESTMENTS
Hatua kubwa uwekezaji NMB na Arise Investments .Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kuimarisha sekta ya kibenki nchini Tanzania, Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na viongozi waandamizi wa kampuni ya Arise Investments. Mazungumzo haya yaliyofanyika Machi 11, 2026, jijini Dar es Salaam, yamelenga zaidi kuimarisha uwekezaji wa NMB Bank na Arise Investments, huku…
