VODACOM FOUNDATION YAENDELEZA HUDUMA ZA USAFI
Vodacom Foundation yaendeleza huduma za Usafi. Shule ya Msingi Mkata, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya uhaba wa matundu ya vyoo. Hali hii si tu ilikuwa tishio kwa afya za wanafunzi, bali pia ilikuwa kikwazo kikubwa kwa mahudhurio ya darasani, hususan kwa watoto wa kike na…
