BoT, TRA benki wajadili hati ya uwakala katika ulipaji kodi
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda wamekutana na Wakuu wa benki na Taasisi za Fedha nchini kujadili suala la Hati ya Uwakala katika Ulipaji wa Kodi nchini (Agency Notice). Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ofisi za Benki Kuu jijini Dar…
