Zanzibar kuiongezea thamani sekta ya utalii

WhatsApp Image 2023 02 10 at 14.50.55

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuiendeleza sekta ya Utalii na kuongeza thamani na ubora kwa kutumia mikakati tofauti ikiwemo kuongeza vivutio.

Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo wakati akifungua maonesho ya siku tatu ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2023 yenye washiriki zaidi ya 200 kutoka Mataifa mbalimbali duniani.
Maonesho hayo yenye maudhui ya ‘Greener Zanzibar’ yanalenga kuibadilisha Zanzibar kuwa fikio la utalii endelevu, yaani ‘Sustainable Tourism Destination’.


Discover more from PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Discover more from PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading

Enable Notifications OK No thanks