Tutafanya yote yanayowezekana kusaidia wanawake: Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi amesema serikali yake itafanya kila linalowezekana katika kuwasaidia wanawake kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, uongozi wa kisiasa na uongozi katika utendaji. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanzawake Duniani Machi 8, 2022 yanayofanyika kitaifa Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “tutaongeza idadi ya viongozi katika serikali”….
