WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.29.25

Wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na taasisi za BUTA Vicoba Endelevu na Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kuwawezesha wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi kupitia program ya IMBEJU. Akizungumza kwenye hafla ya makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amezishukuru taasisi hizo kwa utayari wao wa kushirikiana na…

Soma Zaidi
sasaa

Wanawake watakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya mikopo

Wanawake wametakiwa kuacha kukimbilia kukopa fedha kabla ya kuwa na elimu ya fedha. Kutokuwa na elimu ya fedha kunawasababisha kuishia kupata matatizo mbalimbali kutokana na madeni kwa kushindwa kulipa mikopo hiyo. Beng’i Issa ambae ni Katibu  Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC), ameyasema hayo na kudai kuwa sekta  ya fedha imekuwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 05 at 2.38.41 PM

Rais Samia ataja changamoto maendeleo ya wanawake

Rais Samia Suluhu Hassan amesema maendeleo ya wanawake yamekuwa yakiathiriwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosa rasilimali, kutengwa, kutopata haki na kutopewa nafasi katika kufanya maamuzi. Rais Samia ameyasema hayo katika Kongamano la Wanawake Vijana wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (African Women Leaders Network – AWLN) uliofanyika Zanzibar Desemba 2 hadi 4, 2022. Amesema…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks