WhatsApp Image 2023 07 12 at 14.51.47

Uwindaji wa kitalii unachangia bilioni 30

Serikali inakusanya takriban Shilingi Bilioni 30 kwa mwaka kutokana na Uwindaji wa kitalii nchini. Uwindaji huo ambao unachangia katika Pato la Taifa hususani fedha za kigeni, pia unachangia ajira rasmi na zisizo rasmi kwa jamii. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya Ushauri ya Ugawaji wa Vitalu…

Soma Zaidi
sasasa

Simba, Yanga zaingiza Sh 410 milioni

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza mapato ya mechi ya Simba vs Yanga iliyochezwa Aprili 16 iliingiza Sh410 milioni. Tarifa ya TFF imeeleza mgawanyo wa hela hizo ambapo VAT ni Sh62 milioni, Baraza la Michezo (BMT) Sh10 milioni, gharama za tiketi Sh22 milioni, uwanja Sh47 milioni na mchezo ni Sh22 milioni. TFF imeeleza kuwa wao…

Soma Zaidi
sss

Msitoroshe madini: Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wachimbaji wadogo wawe wazalendo kwa kuacha kutorosha madini. Rais Samia amesema hayo wakati wa utiaji saini kati ya serikali na kampuni tatu za madini kutoka Australia Chamwino Dodoma April 17, 2023. “Niwaombe sana wachimbaji wadogo sasa ule utoroshaji hebu tuwe wazalendo zaidi. Tuna viwanda ndani vya kuchakata madini,…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks