Mradi wa Tsh milioni 50 wakabidhiwa Jumuiya Hifadhi ya Wanyamapori
Mradi wa Tsh milioni 50 wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) umekabidhiwa kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori (WAGA). Mradi huo uliopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga ya kisasa 300, vifaa mbalimbali vya kufugia nyuki na kusindika asali vyenye gharama ya shilingi milioni 50. “Endapo WAGA watashiriki…
