Madini yenye thamani ya takribani Tsh bilioni 3.10 yapelekwa mnadani
Baada ya kipindi cha miaka saba kupita, hatimae mnada wa madini ya vito umerejeshwa ambapo madini kilogramu 184.06 yenye thamani ya takribani Tsh bilioni 3.10 yaliletwa katika mnada uliofanyika Desemba 14, 2024. Mnada huo wa madini ya vito ambao mara ya mwisho ulifanyika mwaka 2017, umerejeshwa katika eneo la Mirerani mkoani Manyara. Akizungumza katika uzinduzi…
