Tutaendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta mpaka duniani kukae sawa
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kukata Sh bilioni 100 kila mwezi kwenye matumizi ya serikali ili kuweka ruzuku kwenye mafuta mpaka bei ya bidhaa hiyo itakapo kaa sawa. “Tunachofanya serikali, tunajaribu kutoa ruzuku kama mlisikia mwezi uliopita nilisema natoa ruzuku ya bilioni 100 kufidia kwenye mafuta ili bei zishuka, na mwezi…
