TEHAMA kuibua fursa za ajira na maendeleo kiuchumi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewataka wadau wa TEHAMA kuwapa nafasi watu wa makundi maaluum katika maboresho ya teknolojia kwa kusikiliza maoni yao. Waziri Nape amesema hayo katika kongamano la saba la TEHAMA linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Oktoba 16 hadi 20, 2023 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano…
