WhatsApp Image 2023 07 21 at 14.39.37

Tanzania, Congo kukuza biashara na uchumi

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Ekila Libombo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili. Mazunguzo hayo yamefanyika mjini Kinshara, Congo, kando ya mkutano wa kamati ya Mawaziri…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 08 at 13.42.52

Ufaransa kuisaidia Tanzania ujenzi wa miundombinu

Ufaransa imesema ipo tayari kusaidiana na Tanzania katika ujenzi wa bandari itakayohudumia Tanzania na nchi jirani. Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ufaransa, Chrysoula Zacharopoulou amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba. “Ufaransa ipo tayari pia kutusaidia kukuza sekta binafsi ambayo imekuwa ikitoa ajira nyingi kwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 02 17 at 18.25.40

Huduma za TEHAMA kusaidia kukabiliana na majanga

Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeandaa rasimu ya Mpango Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano wakati wa Majanga ili kusaidia katika kujiandaa, kugundua na kukabiliana nayo. Rasimu hiyo itasaidia kuzuia au kupunguza athari na maafa yanayoweza kutokea na kugharimu maisha, uharibifu wa rasilimali na miundombinu ya nchi. Hayo yamebainishwa Februari 16, 2023 jijini Dodoma…

Soma Zaidi
ass

Ndege tano kuwasili mwaka huu

Ndege mpya tano zilizonunuliwa na serikali zinatarajiwa kuwasili nchini mwaka huu 2023, ili kuendelea kuimarisha zaidi Shirika la Ndege (ATCL). Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amebainisha hayo jijini Dodoma, akizungumza na waandishi wa habari. Msigwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kuimarisha shirika hilo la ndege na…

Soma Zaidi
mwinyi

Kipaumbele cha kwanza ni kujenga miundombinu: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema matarajio yake kwa sasa ni kujenga miundombinu kwanza. Akihutubia katika maadhimisho ya miaka miwili ya kuiongoza Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “kipaumbele cha kwanza katika miaka miwili ijayo ni kujenga miundombinu mikubwa, miundombinu ya barabara kuu katika nchi yetu. Miundombinu ya bandari…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks