Acheni wizi sehemu za kazi : Rais Samia
Rais Samia Suluhu amewataka vijana walioajiriwa katika viwanda mbalimbali kuwa na nidhamu sehemu ya kazi na kuacha uzembe. Rais Samia ametoa wito huo wakatia akizindua kiwanda cha nguo cha Basra Textiles Mills LTD, kilichopo Chumbani –Zanzibar. “Tubadilikeni tujue kwamba ajira ndio nguzo yako ya maisha, ajira sio by the way, haswa ukiwa kwenye sekta binafsi,…
