WhatsApp Image 2022 12 16 at 11.58.15 AM

Zanzibar yapewa mafunzo mifumo ya biashara

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeendesha mafunzo ya mifumo ya biashara kwa maafisa wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar. Mafunzo hayo pia yamejumuisha wadau kutoka sekta mbalimbali za biashara visiwani humo. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Said Shaaban ambaye ni mgeni rasmi…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 15 at 3.56.00 PM

Malighafi changamoto viwanda Zanzibar

Ukosefu wa malighafi umetajwa kuwa moja ya changamoto katika utengenezaji wa bidhaa za nguo kwenye Viwanda vya Idara Maalum (SMZ) Zanzibar. Viwand hivyo, hulazimika kuagiza vitambaa kwa ajili ya kushona nguo mbalimbali zinazotengenezwa kiwandani hapo nchini China. Afisa habari wa Viwanda hivyo ambavyo kwa sasa vina jina la MARASHI anasema malighafi hizo ni moja ya…

Soma Zaidi
mwinyi

Kipaumbele cha kwanza ni kujenga miundombinu: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema matarajio yake kwa sasa ni kujenga miundombinu kwanza. Akihutubia katika maadhimisho ya miaka miwili ya kuiongoza Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “kipaumbele cha kwanza katika miaka miwili ijayo ni kujenga miundombinu mikubwa, miundombinu ya barabara kuu katika nchi yetu. Miundombinu ya bandari…

Soma Zaidi
Zanzibar

Royal tour Zanzibar

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu inayoeleza utalii wa Tanzania ya Royal Tour. Filamu hiyo itazinduliwa Zanzibar Mei 07, 2022 jioni kwenye hotel ya Golden Tulip. Katibu Mkuu wizara ya Sanaa Dk. Hassan Abass “historia inaenda kuandikwa hapa Zanzibar, hii ndio Royal Tour ya kipekee duniani kushiriki viongozi…

Soma Zaidi
huss

Tutafanya yote yanayowezekana kusaidia wanawake: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi amesema serikali yake itafanya kila linalowezekana katika kuwasaidia wanawake kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, uongozi wa kisiasa na uongozi katika utendaji. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanzawake Duniani Machi 8, 2022 yanayofanyika kitaifa Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “tutaongeza idadi ya viongozi katika serikali”….

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks