Sekta binafsi changamkieni fursa: Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan imeitaka Sekta Binafsi nchini kuchangamkia fursa ya kujenga hoteli kwa ajili ya watalii. Rais Samia amesema hayo wakati akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu, jijini Dar es Salaam. “Wageni wanaokuja mwakani na mwaka unaofuata watakosa mahali pa kulala kama hatukuchangamka kwenye kujenga hoteli…
