Tumeazimia kuifungua pemba kiuchumi: Rais Mwinyi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa Serikali imeazimia kuifungua Pemba kiuchumi kwa kutekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, barabara za kutoka Chake hadi Mkoani, Chake hadi Wete, pamoja na bandari za Wete, Shumba Mjini, na Mkoani. Dk. Mwinyi ameyasema…
