Wakulima wa mwani, wavuvi wadogo kukopeshwa boti za kisasa Zanzibar
Mikopo kwa ajili ya boti kubwa za uvuvi ipo mbioni kuanza kutolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa wavuvi wa Unguja na Pemba. Akizungumza akiwa Unguja, Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo Khamis Mbeto Khamis alisema boti hizo ni mbali ya zingine 1500 za kisasa zenye vifaa vyote…
