Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA
Ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki (Turkish Airlines) imerejesha safari zake za moja kwa moja kutoka Istanbul hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA). Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema “kwa upande wa Serikali tunayo furaha kubwa sana kuona hizi kampuni kubwa za ndege zinarejesha safari zake hapa nchini Tanzania katika vituo…
