India, Tanzania wajadili uhifadhi wa Misitu na Wanyamapori
Ujumbe wa Serikali ya India umekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa Serikali ya Tanzania, na Mwakilishi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa – FAO Katika Bara la Africa kujadiliana fursa za ushirikiano baina ya Tanzania na India kwenye nyanja ya uhifadhi wa Misitu na Wanyamapori. Mazungumzo hayo yamefanyika Julai 24, 2024…
