Usawa wa kijinsia kuchochea uchumi
Usawa wa kijinsia mahali pa kazi ni muhimu. Kampeni ya kuimarisha usawa wa kijinsia imeendelea kuwa ajenda kubwa na sasa benki ya NMB imeahidi kuendelea kutekeleza dhamira yake ya kuchochea usawa wa kijinsia katika sekta ya kibenki nchini. Hayo yameelezwa Septemba 8, 2022 katika mkutano ulioandaliwa na Shirika la International Finance Corporation (IFC) jijini Dar es…
