Maelfu ya Watanzania wajitokeza matibabu ya bure
Maelfu ya Watanzania wamejitokeza kupata huduma za matibabu bure zinazotolewa na Melivita ya matibabu iitwayo ‘Peace Ark’ ya Jeshi la Ukombozi la watu wa China. Pesatu imeshuhudia wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za afya kwenye meli hiyo iliyo tia nanga katika bandari ya Dar es Salaam Julai 16, 2024. Waziri wa Afya Ummy…
