Umekuwa ukifikiria jinsi ya kukuza biashara yako ndogo, lakini mtaji umekuwa kikwazo kikuu?

BoT yafungia wakopeshaji 69

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imefungia  jumla ya majukwaa na programu tumizi “applications” 69 zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidigitali. Taarifa ya BoT iliyosainiwa na Gavana Emmanuel Tutuba Novemba 21, 2024 inaeleza kuwa majukwaa na programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya Mwogozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 20 at 13.04.14 1

Wahasibu wanawake 300 wanolewa

Takribani wahasibu wanawake 300 kutoka katika Halmashauri mbalimbali wamepatiwa mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma. Katika ufunguzi wa mafunzo hayo kwa wanawake wahasibu kutoka kwenye mafungu na Halmashauri iliyofanyika jijini Dodoma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Katibu Mkuu Dkt. Natu El-maamry Mwamba amesema wahasibu hao wametakiwa kusimamia…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 21 at 12.38.48

Wananchi kupata uelewa wa fedha kupitia maadhimisho

Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha yamelenga kuwawezesha wananchi kupata uelewa wa masuala ya fedha. Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Wasimamizi wa Sekta ya Fedha nchini, wameandaa maadhimisho hayo ambayo Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-nzovwe Jijini Mbeya. Maadhimisho hayo yanalenga kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu matumizi ya huduma rasmi za…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks