Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri pesatu.com

Fahamu jinsi ya kukuza biashara ndogo

Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri, kuitangaza, usimamizi wa fedha, na kuzingatia wateja wako. Weka malengo na mpango yako Weka malengo mahususi (yaliyo wazi, yanayoweza kupimika na yanayowezekana. Hapa usiweke malengo ya vitu ambavyo havitaweza kutokea. Jua kile unachofanya na kiwe kinakutofautisha na wafanyabiashara wengine, weka sababu kwa nini wateja wanunue kwako na sio kwa wafanya biashara…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2025 04 08 at 16.13.29

Rais Mwinyi: Zanzibar ina sera bora kwa uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka minne kwa mageuzi katika sekta mbalimbali na kuimarika kwa mifumo  pamoja na kuanzisha sera bora kwa uwekezaji zinazolenga kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo katika…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 04 at 10.17.27 AM

Serikali yazitaka Taasisi za Fedha kutowakandamiza wananchi mikataba ya mikopo

Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija, alipokutana na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, ambayo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks