WhatsApp Image 2023 04 28 at 12.57.17

Baraza la Chuo cha Taifa cha Sukari lazinduliwa

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezindua Baraza la Chuo cha Taifa cha Sukari na kulitaka Baraza hilo kuhakikisha kuwa inakuwa Kituo cha Umahiri cha kuboresha sekta ya sukari nchini. Katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Wizara ya Kilimo-Dodoma na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, Bashe amelitaka Baraza hilo kuhakikisha…

Soma Zaidi
mwanri

Acheni kurusha mbegu: Mwanri

Balozi wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), Aggrey Mwanri amewataka wakulima wa zao la pamba katika wilaya Bariadi mkoa wa Simiyu kulima zao hilo kwa kutumia vipimo vipya vya kisasa. Vipimo hivyo ni sentimeta 60 kutoka mstari hadi mstari na sentimeta 30 kutoka shimo hadi shimo. Mwanri amewataka wakulima kufuata vipimo na kuachana na mtindo…

Soma Zaidi
kkkk

Wakulima tumieni mitandao kujikwamua kiuchumi: TCRA

Wakulima nchini Tanzania wametakiwa kutumia fursa za mitandao katika kujikwamua kiuchumi ikiwamo huduma za masoko ya mazao wanayozalisha. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wakulima wanapoelekea kuadhimisha siku ya Wakulima (Nane Nane) kutumia mitandao ya kijamii kutangaza kilimo. Akizungumza katika banda la TCRA, mkuu wa mamlaka hiyo kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Asajile John…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks