TARI yaaswa kuongeza tafiti mbegu za asili
Viongozi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameaswa kuongeza zaidi tafiti na uzalishaji wa mbegu za asili na kujenga uwezo wa watafiti wake kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemweleza hayo Mkurugenzi Mkuu wa TARI, Dkt. Thomas Bwana wakati wa ziara yake katika Kituo cha Utafiti…
