Tanzania yapata fursa ya biashara Saudi Arabia
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza fursa za kuuza bidhaa za vyakula katika soko la Saudi Arabia na nchi za Ghuba. Uuzaji wa bidhaa hizo unafanyika kwa njia ya soko mtandao wa Kampuni ya Saudi Arabia ya FOODI. Taarifa ya TanTrade kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia inataja bidhaa hizo…
