Ubia wahitajika kuipunguzia serikali gharama za miradi
Wataalam wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi nchini wameagizwa kuhakikisha miradi yote mikubwa yenye mvuto wa kibiashara nchini inatekelezwa kwa njia ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership) ili kuipunguzia Serikali mzigo wa kugharamia miradi hiyo. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu,…
