social media

Mitandao ya kijamii na fursa kiuchumi

Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekuwa sana kila kona duniani. Ni moja ya njia ya kupashana habari kwa kasi. Watu mbalimbali hususani vijana ndio kundi kubwa linalotumia mitandao hiyo ikiwemo Facebook, Twitter, Whatsapp, Youtube, Instagram na mingine mingi. Vijana wengi wamekuwa wakiitumia kufanya mijadala mbalimbali hususani siasa na mambo mengine. Ni wachache walioweza kuona fursa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 08 05 at 3.13.56 PM

Serikali yataka ubunifu wa Watanzania ulindwe

Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imetaka ubunifu wa Watanzania ulindwe na kuendelezwa. Naibu Waziri wa Wizara hiyo Exaud Silaoneka Kigahe amesema vijana wengi Watanzania wana ubunifu lakini bunifu hizo huchukuliwa na watu wengine kutokana na kutolindwa kisheria. Ameeleza kupitia taasisi za Wizara ambazo ni Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania…

Soma Zaidi
coffee farm orchard

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu wengi ambao wamefanikiwa bado wanaendelea kuzichangamkia fursa za kilimo biashara kwa sababu wanajua zina mafanikio makubwa na muda unavyozidi kwenda, teknolojia zinavyoendelea kuboreshwa kilimo biashara kitafanyika kwa urahisi zaidi. Hata watu waliofanikiwa tayari wanachangamkia kilimo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 03 03 at 1.56.32 PM

Tanzania: Tutaendelea kusimamia usawa, uwezeshaji wanawake

Tanzania imezihakikishia nchi za Umoja wa Afrika kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika sekta mbalimbali na kuwawezesha kupata fursa katika sekta hizo. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis ameeleza hayo mara baada ya kuwasili nchini akitikokea Ethiopia alikoshiriki Mkutano wa Sita wa…

Soma Zaidi

Biashara za mtaji mdogo, suluhisho la vijana kujiajiri

Wakati sera kuu ya Tanzania ni vijana na wanawake kujiajiri, upatikanaji mgumu wa mtaji unazuia maendeleo. Serikali imefanya mengi ili kuongeza upatikanaji wa mtaji kwa makundi maalum kama wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, hata hivyo mengi zaidi yanahitajika kufanywa. Hadi sasa, serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imerahisisha mahitaji ya ukopaji kwenye mabenki na…

Soma Zaidi
anaa

Vijana 470 waitwa uhamiaji

Vijana 470 wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa nafasi ya konstebo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi Februari 12, 2022 na Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Mrajibu Paul Msele imesema vijana waliochaguliwa kujiunga wanatakiwa waripoti katika chuo cha uhamiaji kilichopo Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Februari 19, 2022. Idara ya uhamiaji…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks