Waziri wa Elimu azungumza na Benki ya Dunia
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Nathan Belete Jijini Dodoma Machi 23, 2023 na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya elimu. Waziri Mkenda, ameishukuru (WB) kwa kuendelea kusaidia sekta ya elimu. Ameeleza kuwa, kwa sasa wizara ipo katika kufanya mageuzi makubwa ya kielimu…
