Miradi 80 inatekelezwa kwa ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP)
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, amesema kuwa miradi 80 imewezeshwa na Serikali na ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kwa utaratibu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Aliyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Manase Njeza, aliyetaka kujua idadi ya miradi…
