Serikali ya Tanzania yajipanga utafiti wa mazao
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewaeleza wadau wa vanila namna Serikali ilivyojipanga kufanya utafuti wa mazao likiwemo zao la vanila. mavunde amesema hayo wakati akifungua mkutano wa Wadau wa Zao la Vanila nchini. Amesema Vanila ni moja ya mazao yanayoweza kuwekewa mkakati ili kuongeza uzalishaji na uuzaji kwenye soko la kimataifa. “Jambo kubwa ni…
